Ayu. 37:23-24 Swahili Union Version (SUV)

23. yeye Mwenyezi hamwezi kumwona;Yeye ni mkuu mwenye uweza;Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.

24. Kwa hiyo watu humwogopa;Yeye hawaangalii walio na hekima mioyoni.

Ayu. 37