Ayu. 36:5-8 Swahili Union Version (SUV)

5. Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote;Ana uweza katika nguvu za fahamu.

6. Hauhifadhi uhai wa waovu;Lakini huwapa wateswao haki yao.

7. Yeye hawaondolei macho yake wenye haki;Lakini pamoja na wafalme huwawekaKatika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.

8. Nao wakifungwa kwa pingu,Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;

Ayu. 36