Ayu. 35:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Tena Elihu akajibu na kusema,

2. Je! Wewe wadhani kwamba haya ni haki yako,Au je! Wasema, Haki yangu ni zaidi kuliko ya Mungu,

Ayu. 35