Ayu. 33:10-12 Swahili Union Version (SUV)

10. Tazama, yuaona sababu za kufarakana nami,Hunihesabu kuwa ni adui yake;

11. Hunitia miguu yangu katika mkatale,Na mapito yangu yote huyapeleleza.

12. Tazama, nitakujibu, katika neno hili huna haki;Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu.

Ayu. 33