Ayu. 3:24-26 Swahili Union Version (SUV)

24. Kwani kuugua kwangu kwaja kana kwamba ni chakula,Na kunguruma kwangu kumemiminika kama maji.

25. Maana jambo hilo nichalo hunipata,Nalo linitialo hofu hunijilia.

26. Mimi sioni raha, wala situlii, wala kupumzika;Lakini huja taabu.

Ayu. 3