Ayu. 3:1-2 Swahili Union Version (SUV) Baada ya hayo Ayubu akafunua kinywa chake, na kuilaani siku yake. Ayubu akajibu, na kusema;