Ayu. 20:7-10 Swahili Union Version (SUV)

7. Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe;Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?

8. Ataruka mfano wa ndoto, asionekane;Naam, atafukuzwa kama maono ya usiku,

9. Jicho lililomwona halitamwona tena;Wala mahali pake hapatamtazama tena.

10. Watoto wake watataka fadhili kwa maskini,Na mikono yake itarudisha mali yake.

Ayu. 20