Ayu. 20:16-19 Swahili Union Version (SUV)

16. Ataamwa sumu ya majoka;Na ulimi wa fira utamwua.

17. Hataiangalia hiyo mito ya maji,Vile vijito vilivyojaa asali na siagi.

18. Aliyoyataabikia kazi atayarudisha, asiyameze;Kwa mali aliyoyapata, hatafurahi.

19. Kwa maana amewaonea na kuwaacha maskini;Amenyang’anya nyumba kwa jeuri, wala hataijenga.

Ayu. 20