Ayu. 20:1-4 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Sofari, Mnaamathi, akajibu, na kusema,

2. Kwa hiyo mawazo yangu hunipa jawabu,Kwa ajili ya haraka niliyo nayo ndani yangu.

3. Nimesikia maonyo yanayonitahayarisha,Nayo roho ya ufahamu wangu hunijibu.

4. Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale,Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi,

Ayu. 20