Ayu. 17:14-16 Swahili Union Version (SUV)

14. Ikiwa nimeuita uharibifu, Wewe u baba yangu;Na kuliambia buu, Wewe u mama yangu, na umbu langu;

15. Basi, tumaini langu li wapi?Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?

16. Litashuka kwenye makomeo ya kuzimu,Itakapokuwapo raha mavumbini.

Ayu. 17