Amu. 18:4-6 Swahili Union Version (SUV)

4. Naye akawaambia, Hivi na hivi ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake.

5. Nao wakamwambia, Tafadhali tutakie shauri la Mungu, ili tupate kujua kwamba njia yetu tuiendeayo itafanikiwa.

6. Kuhani akawaambia, Haya endeni na amani; njia mnayoiendea i mbele za BWANA.

Amu. 18