2 Kor. 11:1-2 Swahili Union Version (SUV) Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami. Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu