1 Pet. 1:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Maana,Mwili wote ni kama majani,Na fahari yake yote ni kama ua la majani.Majani hukauka na ua lake huanguka;

25. Bali Neno la Bwana hudumu hata milele.Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.

1 Pet. 1