1 Nya. 23:17-20 Swahili Union Version (SUV)

17. Na wana wa Eliezeri; Rehabia mkuu wao. Yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine; lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.

18. Wana wa Ishari; Shelomithi mkuu wao.

19. Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.

20. Wana wa Uzieli; Mika mkuu wao, na Ishia wa pili.

1 Nya. 23