1 Nya. 2:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Na wana wa Karmi; Akani, yule mwenye kutaabisha Israeli, aliyekosa katika kitu kilichowekwa wakfu.

8. Na wana wa Ethani; Azaria.

9. Tena wana wa Hesroni aliozaliwa; Yerameeli, na Ramu, na Kalebu.

1 Nya. 2