1 Nya. 16:10-12 Swahili Union Version (SUV)

10. Jisifuni kwa jina lake takatifu;Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.

11. Mtakeni BWANA na nguvu zake;Utafuteni uso wake siku zote.

12. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya;Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;

1 Nya. 16