31. Lakini kama tungejipambanua nafsi zetu, tusingehukumiwa.
32. Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia.
33. Kwa hiyo, ndugu zangu, mkutanikapo mpate kula, mngojaneni;
34. mtu akiwa na njaa, na ale nyumbani kwake; msipate kukutanika kwa hukumu. Na hayo yaliyosalia nijapo nitayatengenez