1 Fal. 22:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli.

2. Ikawa, mwaka wa tatu Yehoshafati mfalme Wa Yuda akamshukia mfalme wa Israeli.

1 Fal. 22